Kwa nini?Haya mambo tumuachie The Boss
Tafuta nyingine ni bonge la actor.So sad nimemjulia kwenye The Equaliser, huko kwengine sijawahi kumuona.
Utakuwa chalii wa 2000So sad nimemjulia kwenye The Equaliser, huko kwengine sijawahi kumuona.
nafurahi sana unavyomkubali ndugu yangu wa damu Denzel. Nime retrieve DNA naona ni mmeru kabisa huyu.Huyu jamaa anajua halafu huwa hana show mbovu kila chuma anachotoa ni kigongo na nakubali movie zake zote