Karibisho la Mawazo ya kibiashara

Karibisho la Mawazo ya kibiashara

Kinyozi_tz

Member
Joined
May 23, 2020
Posts
17
Reaction score
42
Habarini wadau .Kama mnavyo fahamu katika harakati za maisha kuna watu wana idea za biashara na kuna watu wana pesa.Hivyo napenda kualika wote wenye mawazo ya kibiashara chini ya million tano njoo na idea yako dm then tu discuss .Note usije na idea za kitapel au kubeti na wale ambao idea zao zinafanya kazi tayari zitapewa priority kubwa
 
nenda USA huko ndo kuna ndoto mawazo kuwa pesa.
Hapa ni mwendo
IMG_0783.jpeg
 
Tajiri una maringo ya ghafla sana tajiri.
🤣🤣🤣 ah kufake maisha ni tabu jamani hapa kishingo upande natamani nimfate mwamba pm tuone tunaziingiza vipi katika wazo langu hizo hela.
Ila ndiyo hivo najuwa memba humu tulivo na ukwasi huko pm kushajaa.
 
Pesa hainaga kelele bwashee🤣
 
Back
Top Bottom