Kinyozi_tz
Member
- May 23, 2020
- 17
- 42
tunaweza kushirikianaKwamba nikitoa hilo wazo mnanipa mtaji au nalipwa kutokana nakuuza hilo wazo
🤣🤣🤣 yeye anataka mtu amfate pm, sasa mimi ndiyo natoa wazo halafu mimi huyo huyo ndiyo nihangaike kumfata yeye pm.Tajiri Sinabay mpe wazo ndugu yako uzuri huna baya.
kijimilion 5 kinampa kiburi naona mkuu.yeye anataka mtu amfate pm, sasa mimi ndiyo natoa wazo halafu mimi huyo huyo ndiyo nihangaike kumfata yeye pm.
Kuwa wewe kuweza.
Mwambie akabet Hiyo pesa bado masaa dabby ya Yanga na simba inaweza kumpa pesakijimilion 5 kinampa kiburi naona mkuu.
😂😂😂 ila bila shaka atapata ma partner tumuombee afanikiwe ndugu yetu.kijimilion 5 kinampa kiburi naona mkuu.
Tajiri una maringo ya ghafla sana tajiri.🤣🤣🤣 yeye anataka mtu amfate pm, sasa mimi ndiyo natoa wazo halafu mimi huyo huyo ndiyo nihangaike kumfata yeye pm.
Kuwa wewe kuweza.
sisi #hatuna bayaila bila shaka atapata ma partner tumuombee afanikiwe ndugu yetu.
haha kaweka Note hapo mwishoni.Mwambie akabet Hiyo pesa bado masaa dabby ya Yanga na simba inaweza kumpa pesa
🤣🤣🤣 ah kufake maisha ni tabu jamani hapa kishingo upande natamani nimfate mwamba pm tuone tunaziingiza vipi katika wazo langu hizo hela.Tajiri una maringo ya ghafla sana tajiri.
Pesa hainaga kelele bwashee🤣🤣🤣🤣 ah kufake maisha ni tabu jamani hapa kishingo upande natamani nimfate mwamba pm tuone tunaziingiza vipi katika wazo langu hizo hela.
Ila ndiyo hivo najuwa memba humu tulivo na ukwasi huko pm kushajaa.
Bado hata hakuja jaa we njoo tuPesa hainaga kelele bwashee🤣
Kwa hiyo unataka kusemaje!Pesa hainaga kelele bwashee🤣
Usijali boss ujumbe wangu hausiani na uzi japo upo ndani ya uzi kwa Tajiri SinabayBado hata hakuja jaa we njoo tu