Karibu 75% ya vitu vinavyouzwa na Russia&Ukraine vinapatikana Tanzania. Serikali ina mpango gani walau kuwa mdau kwenye Trade exp

Sisi ni wa mikopo, tukijinadi na kujisifia!
 
Uchumi & Technology vinatuangusha.

kununua technolojia ni ghali na hiyo pesa hatuna
 
Mazingira ya kufanya hivyo tz ni magumu, bado watawala wanawapendelea wahindi na waarabu, unakumbuka kipindi kile mengi alitaka kuwekeza kwenye gas ila viongozi wetu wakaleta mizengwe
 
Huwa naitafakarigi sana hii point.....huwa siaminigi lakini kadri siku zinavyo enda ukweli mchungu unaniingia iviii [emoji22][emoji22][emoji22]
Amini kuanzia sasa, mfano tungeweza kuondoa CCM ukaweka Republican au Democratic party inayoongoza Marekani with the same resources tungeweza kuwa na mabadiliko ya hali ya juu ndani ya miaka mitano tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…