dinho25
Member
- Jan 6, 2017
- 81
- 89
Nimekaa nikachunguza,nimegundua asilimia kubwa ya madereva wa boda boda DSM wanatumia BOXER,ambazo ni pikipiki za hali yajuu na zenye mvuto.
Ni adimu kukuta hizo aina nyingine za pikipiki ambazo ni PIKIPIKI UCHWARA.
Kwa kweli PIKIPIKI aina ya BOXER ni adimu sana mikoa mingine.
JE HII INA MAANA KWAMBA BODABODA INALIPA SANA DSM kuliko mikoa mingine?.