mkuu unaishi morogoroHapa boxer si nzuri kwenye mabarabara ambayo yako huku ni nyepesi Sana, huku kinglion, Kuna sehemu nyingine huku gia ni namba moja na mbili au Tatu milima hiyo, boxer mchumba huku
boxer haziwezi kubeba mizigo sasa bush zifuate nini??Nimekaa nikachunguza,nimegundua asilimia kubwa ya madereva wa boda boda DSM wanatumia BOXER,ambazo ni pikipiki za hali yajuu na zenye mvuto.
Ni adimu kukuta hizo aina nyingine za pikipiki ambazo ni PIKIPIKI UCHWARA.
Kwa kweli PIKIPIKI aina ya BOXER ni adimu sana mikoa mingine.
JE HII INA MAANA KWAMBA BODABODA INALIPA SANA DSM kuliko mikoa mingine?.
Bukoba, Muleba hadi Missenyi ni mwendo wa Boxer tu hasa zile BM 100. Biharamulo na Ngara ndo hizo San lg.Kagera hasa Lusahunga 95% ni sanlg kwa kwenda mbele.