Karibu Bongo ujionee maajabu ya Coastal Union

THE BEEKEEPER

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2024
Posts
1,462
Reaction score
7,157
..π—žπ—”π—₯π—œπ—•π—¨ π—•π—’π—‘π—šπ—’ π—¨π—π—œπ—’π—‘π—˜π—˜

Beki wa kati Felly Mulumba alipewa Thank You na klabu ya Coastal union mwanzoni mwa dirisha hili la usajili 2024.

Felly Mulumba amepewa Welcome na klabu ya Coastal union mwishoni mwa dirisha lilelile la usajili 2024 😎

FB_IMG_1723039092460.jpg
FB_IMG_1723039097030.jpg
 
..π—žπ—”π—₯π—œπ—•π—¨ π—•π—’π—‘π—šπ—’ π—¨π—π—œπ—’π—‘π—˜π—˜

Beki wa kati Felly Mulumba alipewa Thank You na klabu ya Coastal union mwanzoni mwa dirisha hili la usajili 2024.

Felly Mulumba amepewa Welcome na klabu ya Coastal union mwishoni mwa dirisha lilelile la usajili 2024 😎
Kwenye "thank you" walisema kabisa "see you next time "
 
..π—žπ—”π—₯π—œπ—•π—¨ π—•π—’π—‘π—šπ—’ π—¨π—π—œπ—’π—‘π—˜π—˜

Beki wa kati Felly Mulumba alipewa Thank You na klabu ya Coastal union mwanzoni mwa dirisha hili la usajili 2024.

Felly Mulumba amepewa Welcome na klabu ya Coastal union mwishoni mwa dirisha lilelile la usajili 2024 😎
Fungus tu inatibika usihofu mkuu
 
Aliyeandika hiyo senk you wasimpe kazi tena, kama neno hilo tu hajui ni mangapi atakuwa hajui?
 
Kawaida tu mbona, hushangai ya Simba kumtambulisha kwenye mitandao ya kijamii LAMECH LAWI kumbe hawajamsajili?
 
..π—žπ—”π—₯π—œπ—•π—¨ π—•π—’π—‘π—šπ—’ π—¨π—π—œπ—’π—‘π—˜π—˜

Beki wa kati Felly Mulumba alipewa Thank You na klabu ya Coastal union mwanzoni mwa dirisha hili la usajili 2024.

Felly Mulumba amepewa Welcome na klabu ya Coastal union mwishoni mwa dirisha lilelile la usajili 2024 😎

View attachment 3063858View attachment 3063859
🀣🀣🀣
 
Kawaida tu mbona, hushangai ya Simba kumtambulisha kwenye mitandao ya kijamii LAMECH LAWI kumbe hawajamsajili?
Hii nayo ni kali ya mwaka! Tena msemaji wao alitamka hadharani kuhusu kumsajili huyo dogo! Cha kushangaza hatukumuona akitambulishwa kwenye tamasha lao la simba day.
 
17 August 2024
Tundavala Stadium Lubango,
Angola

Yaanza kampeni kali michuano CAF Confederation Cup mechi ya kwanza ugenini leo , FC Bravos do Maquis ya Angola dhidi ya Coastal Union ya Tanzania

AS BRAVO VS COASTAL UNION
 
Coastal Union ikifanikiwa kuvuka kigingi cha AS Bravo itakwenda kukumbana na timu ngumu ya FC Lupopo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo)
 
..π—žπ—”π—₯π—œπ—•π—¨ π—•π—’π—‘π—šπ—’ π—¨π—π—œπ—’π—‘π—˜π—˜

Beki wa kati Felly Mulumba alipewa Thank You na klabu ya Coastal union mwanzoni mwa dirisha hili la usajili 2024.
Felly Mulumba amepewa Welcome na klabu ya Coastal union mwishoni mwa dirisha lilelile la usajili 2024 😎
Ni sawa na KMC walivyomkaribisha tena (Welcome back) Awesu wakati hawakuwahi kumuaga

1723908452421.png
 
Haikuwa Thank you ilikuwa SENK YOU.Pia nadhani Udhamini wa GSM ulileta dau nono.
 
Back
Top Bottom