THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,462
- 7,157
Kwenye "thank you" walisema kabisa "see you next time "..πππ₯πππ¨ ππ’π‘ππ’ π¨πππ’π‘ππ
Beki wa kati Felly Mulumba alipewa Thank You na klabu ya Coastal union mwanzoni mwa dirisha hili la usajili 2024.
Felly Mulumba amepewa Welcome na klabu ya Coastal union mwishoni mwa dirisha lilelile la usajili 2024 π
Coastal union ni mzaha sanaInawezekana walishindwana kwenye mkataba mpya na sasa wamewezana.
Fungus tu inatibika usihofu mkuu..πππ₯πππ¨ ππ’π‘ππ’ π¨πππ’π‘ππ
Beki wa kati Felly Mulumba alipewa Thank You na klabu ya Coastal union mwanzoni mwa dirisha hili la usajili 2024.
Felly Mulumba amepewa Welcome na klabu ya Coastal union mwishoni mwa dirisha lilelile la usajili 2024 π
Nipo shule unataka niacheRudi shule.
π€£π€£π€£..πππ₯πππ¨ ππ’π‘ππ’ π¨πππ’π‘ππ
Beki wa kati Felly Mulumba alipewa Thank You na klabu ya Coastal union mwanzoni mwa dirisha hili la usajili 2024.
Felly Mulumba amepewa Welcome na klabu ya Coastal union mwishoni mwa dirisha lilelile la usajili 2024 π
View attachment 3063858View attachment 3063859
Hii nayo ni kali ya mwaka! Tena msemaji wao alitamka hadharani kuhusu kumsajili huyo dogo! Cha kushangaza hatukumuona akitambulishwa kwenye tamasha lao la simba day.Kawaida tu mbona, hushangai ya Simba kumtambulisha kwenye mitandao ya kijamii LAMECH LAWI kumbe hawajamsajili?
Kurjuan hiyoHii nayo ni kali ya mwaka! Tena msemaji wao alitamka hadharani kuhusu kumsajili huyo dogo! Cha kushangaza hatukumuona akitambulishwa kwenye tamasha lao la simba day.
Ni sawa na KMC walivyomkaribisha tena (Welcome back) Awesu wakati hawakuwahi kumuaga..πππ₯πππ¨ ππ’π‘ππ’ π¨πππ’π‘ππ
Beki wa kati Felly Mulumba alipewa Thank You na klabu ya Coastal union mwanzoni mwa dirisha hili la usajili 2024.
Felly Mulumba amepewa Welcome na klabu ya Coastal union mwishoni mwa dirisha lilelile la usajili 2024 π
Kama 5imba walivyo mkalibisha Lawi na haijawahi kuonekana ukoloniNi sawa na KMC walivyomkaribisha tena (Welcome back) Awesu wakati hawakuwahi kumuaga
View attachment 3072723