Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Aug 17, 2024 #21 ukikaidi utapigwa2 said: Kama 5imba walivyo mkalibisha Lawi na haijawahi kuonekana ukoloni Click to expand... Hapo kijana wa Rage lazima atimue tu mbio kwa hii spana 🔧 uliyompa.
ukikaidi utapigwa2 said: Kama 5imba walivyo mkalibisha Lawi na haijawahi kuonekana ukoloni Click to expand... Hapo kijana wa Rage lazima atimue tu mbio kwa hii spana 🔧 uliyompa.
K11 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 3,447 Reaction score 11,274 Aug 17, 2024 #22 Coastal kachapwa 3 kwa 0 huko CAF confederation. Mechi ya marudiano ni ngumu kupata ushindi wa goli 4 bila, hivyo Coastal asante kwa kusindikiza mashindano
Coastal kachapwa 3 kwa 0 huko CAF confederation. Mechi ya marudiano ni ngumu kupata ushindi wa goli 4 bila, hivyo Coastal asante kwa kusindikiza mashindano