Karibu Bright and Genius Editors upate huduma bora

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
BRIGHT AND GENIUS EDITORS

Karibu Bright and Genius Editors tunatoa huduma zifuatazo:

1. Huduma ya kuhariri (kuedit) ripoti mbalimbali, propozo, vitabu, notes na barua mbalimbali.
2. Kuandika barua za kujitoa kwenye mifumo ya vyuo (Deregistration letters)
3. Kuandika barua za kuomba kazi.
4. Kuandika propozo za kuanzisha biashara au kufungua mradi.
5. Kuandika katiba za vikundi vya wajasiliamali.
6. Kusajili jina la biashara au kampuni

Tafadhari kama unahitaji huduma yetu tutafute kwa mawasiliano yafuatayo:

Website: www.bgeditors.com
Email: bandg.editors@gmail.com
WhatsApp: 0687746471
 
Habari marafiki,

Kuna wakati mwingine watu huhitaji msaada wa kuandikiwa research kutokana na sababu za hapa na pale.
Lakini wakati mwingine mtu anakosa mwongozo sahihi na hivyo anahitaji mtu wa karibu kumsaidia.
IMG-20230208-WA0007.jpg

Basi usisite kututafuta, tutakuandalia framework nzuri ya research yako.

Ukihitaji kututafuta tupigie tu au Whatsapp: 0747744895
 
Umenena vema research mtu anatakiwa aandike mwenyewe mwanzo mwisho akakomae Library ndo italeta maana nzuri na sio kufanyiwa
Sio kweli boss, ni vyema ushirikiane na wenzako wanaojua. Huwezi komaa mwenyewe utachelewa sana. Nakusisitiza shirikiana na wenzako. Hata Newton alishirikiana na wanafunzi wake. Ndipo unajua
 
Habari marafiki,

Kuna wakati mwingine watu huhitaji msaada wa kuandikiwa research kutokana na sababu za hapa na pale.
Lakini wakati mwingine mtu anakosa mwongozo sahihi na hivyo anahitaji mtu wa karibu kumsaidia.

Basi usisite kututafuta, tutakuandalia framework nzuri ya research yako.

Ukihitaji kututafuta tupigie tu au Whatsapp: 0747744895

Kwa kuwasaidia zaidi usiwaandikie, waongoze katika mchakato mzima wa mambo yanayotakiwa kwaajili ya reseach, kuyaandaa kwa ufasha, jinsi ya kuandika na kuwasilisha

Vinginevyo watakua na makaratasi sio vyeti
 
Ndio hicho boss nilicholenga zaidi
 
Back
Top Bottom