Wew unajua mpaka kuandika hivi... nmetembelea nchi gani+ elimu yangu ni ipi...??? Kiufupi.. mnaaibisha sana Elimu ya Tanzania.. ungezema P
Boss wapo wanaohitaji hii huduma wewe endelea kujiandikia wala hamna tatizo. Kila mtu na chaguo lake. Just be positive, usitake wenzako wawe kama wewe unavyotaka kuwa. Wengine elimu yao inawatosha na huwezi kujua kila kitu.
 
Kuna kuandika CV ilimradi na kuandikiwa CV yenyewe ni vitu viwili tofauti. Sisi tunakuandikia CV yenyewe boss. Haya ni mambo ya kawaida labda tumekosa exposure tu. Hata ulaya yapo haya hiyo haimaanishi hawana elimu.
Sawa ila uhalisia itakuwa zaidi ya hapo kama sio sasa siku zijazo. Ubwete ni jadi huku Africa
 
Very nice observation kudos🙏
 
Sasa kama mtu undergraduate hawezi kuandika Cover letter+CV...
2. Postgraduate anataka aandikiwe Research Proposal?????
Kama ndivyo... basi Elimu yetu ipo kuzimu...
Zaidi ya kuzimu.......ukipitia CV na Barua za maombi ya kazi unaweza kulia.....then unakuta cheti mtu ana 3.8 GPA
 
Basi inatosha. Wengine hatujazoea kufikiri negativity. Na wengine hatuhitaji hizo python boss. Elimu ni pana sana kila mtu anashika anapopaweza. Kama umeona kwenye python kuna gap nunua computer anza kuwafundisha watanzania.
Leta video zako za python hapa jukwaa la elimu watu watajifunza. Ila usitumie akili yako kuanza kuponda kazi za wengine. Heshimu kazi ya mtu nawe utafanikiwa.
 
BRIGHT AND GENIUS EDITORS

@2023: WITH AFFORDABLE PRICES, WE BRUSH YOUR WORK

OUR PRICES:
Proposal editing = 5 tsh per word
Project editing = 5 tsh per word
Research editing = 5 tsh per word
Essay editing = 5 tsh per word
Proposal writing = 50k tsh
Project writing = 50k tsh
Research writing = 50k tsh
Study plan/PS/SOP writing = 10k tsh
CV writing = 2k tsh
Job application letter writing = 2k tsh
Thesis editing = 10 tsh per word
Dissertation editing = 10 tsh per word

Address
Phone/Whatsapp 1= +255687746471
Phone/Whatsapp 2= +255747744895
Wechat ID: bandg_editors
Email = bandg.editors@gmail.com
 
Hivi mtu akitaka kuandika research plan huwa ni kitu gan hasa inabidi akiweke? I mean key point ya research plan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…