Karibu Dar es Salaam, njoo uyashuhudie

Daah wee jamaa umeidadavua Dar vizuri mno[emoji16]
 
Daaa nimeishi sana hapo Dar lkn mengineyo sikuyajua wala kuyafuatilia! ili kuyaishi!1
 
Uzi mtamu sana huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dar, kweli Dar ngu sana make wanaokusifia na kukuponda wote wako kwenye Yale makundi 6 pendwa na bado hawashtuki.

Nimeburudika sana kwa makala yalo mazee, asante sana kwa Sana'a murua
 
Noma sana....huu mji inabidi ukae kimahesabu
 
Hongera mkuu kwa andiko zuri japo nimetumiaa nusu saa kulisoma.

Wakati huo mmoja aniambie "abeg" Ina maana gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…