MWEMBEKIUNO
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,877
- 2,489
Bei 1650000
Sifa zake
Smart tv
4k
Inaport ya hdmi
Inaport ya usb
Inaport ya av
Bluetooth
Remote control
Warranty mwaka 1
Usafiri bureeee
Bracket bureeee
Wasiliana nasi 0714092524》》0769101045
WhatAssap 0714092524
Tupo magomeni mikumiView attachment 1439205
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo maelezo ya Mikoani Ni tofauti !
Kama una ndugu dar unamuagiza ofisini kisha unalipiaa tunakutumia mzigoKwa hiyo maelezo ya Mikoani Ni tofauti !
Ndio tuwasiliane 0714092524Bonge la machine.
Huo usafiri bure mpaka sisi mikoani???
Allah kariim
Bei yake tuu 275000Dude kubwa hivyo laki 2!! Una shida ya hela au?
Bei yako mbona iko juu sana mzee, jiran yangu kaagiziwa na jamaa flan anafanya delivered kwa 400,000/ smart tcl 32