INAUZWA Karibu dukani kwetu Magomeni Mikumi, ujipatie bidhaa mbalimbali

Bei 130000
Sifa zake
Liter 1:5
Jagi la plastic
Jagi la vitu vikavu
Warranty mwaka 1
Usafiri bureeee
Wasiliana nasi 0714092524》》0769101045
WhatAssap 0714092524
Tupo magomeni mikumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unazo kama hii ya kwenye picha, na kama unazo unauza sh. ngapi? Na hata kama hauna nitajie bei yake ya rejareja kama unaijua. Nime-google nikaiona hiyo nimeipenda sana. Kama ikipatikana na bei ikanipendeza nitaichukua. Hiyo jagi lake ni la Grass(Chupa).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usafiri na wamikoani utaratibu ni huo huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…