khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,137
- 1,380
Katika huu uzi ebu tujuzane baadhi ya changamoto na migogoro ya ardhi hasa mipaka na majirani au jirani uliyepakana nae katika kiwanja chako, Ilikuwaje na mgogoro uliisha vipi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Migogoro mingi inatokana na ubinafsi na tamaa tu. Mtu anataka apande fensi au miti mpakani, akiambiwa aache hatua moja anaona eneo lake litapungua. Kuna mmoja amepanda miti yake, hapa nasubiri wakati wa kujenga ukuta, ataing'oa tu! Ni mbishi sanaa.Katika huu uzi ebu tujuzane baadhi ya changamoto na migogoro ya ardhi hasa mipaka na majirani au jirani uliyepakana nae katika kiwanja chako, Ilikuwaje na mgogoro uliisha vipi.