Karibu 'Home of Excellence Driving School' kwa mafunzo ya udereva

Karibu 'Home of Excellence Driving School' kwa mafunzo ya udereva

Manala An Academician

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
119
Reaction score
57
Baadhi ya huduma zetu ni darasa lakufuatwa na kufundishiwa ulipo, mafunzo ya mtu mmoja mmoja kwenye gari na mwalimu wake, mafunzo ya jumamosi na jumapili kwa wasio na mda siku za kazi

Tupo wazi kuanzia saa 12:30 asubuhi mpaka saa 12:00 jioni kila siku
Waweza wasiliana nasi kwa 0757930779

Au tembelea tovuti:www.excellencedriving.ac.tz
 
Tangu nilipowapigia simu haikupokelewa mara tatu na hamkujisumbua kucall back hapo ndio nilipojua vile hampo serious na mnachokifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu nilipowapigia simu haikupokelewa mara tatu na hamkujisumbua kucall back hapo ndio nilipojua vile hampo serious na mnachokifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
pole kiongozi kwa changamoto hiyo, tumejidhatiti sana kutoa huduma bora kabsa, naomba radhi kwa changamoto uliyopata wakati wakutupigia nahisi watendaji wetu upande wa huduma kwa wateja hawakuwa makini na simu, naomba namba yako Mh au unipigie mimi binafsi kwa 0757930779, naomba radhi sana tena
 
Hawapokeagi SIMU na hata wakikuta missed Call yako hawakupigiivwala Ujumbe
 
Mkuu mimi nina leseni tangu enzi za vitabu, tatizo lipo hivi,

mwaka 2015 leseni yangu iliisha mda wake sikuhangaika nayo mwaka 2016 ikapotea nikatoa taarifa polisi wakai.cancel mwaka 2018 nikataka kuirudisha nikalipia wakaprint ile iliyoisha muda wake tangu 2015. nikaachana nao sasa nataka kuirudisha nakuongeza madaraja toka D nipate A, D, na E unaweza kunisaidia?
 
Una

Karibu sana mtaalamu tutakuongoza jinsi ya kupata leseni hiyo kwa kuzingatia kanuni
 
Back
Top Bottom