Manala An Academician
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 119
- 57
pole kiongozi kwa changamoto hiyo, tumejidhatiti sana kutoa huduma bora kabsa, naomba radhi kwa changamoto uliyopata wakati wakutupigia nahisi watendaji wetu upande wa huduma kwa wateja hawakuwa makini na simu, naomba namba yako Mh au unipigie mimi binafsi kwa 0757930779, naomba radhi sana tenaTangu nilipowapigia simu haikupokelewa mara tatu na hamkujisumbua kucall back hapo ndio nilipojua vile hampo serious na mnachokifanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana mtaalamu tutakuongoza jinsi ya kupata leseni hiyo kwa kuzingatia kanuniMkuu mimi nina leseni tangu enzi za vitabu, tatizo lipo hivi,
mwaka 2015 leseni yangu iliisha mda wake sikuhangaika nayo mwaka 2016 ikapotea nikatoa taarifa polisi wakai.cancel mwaka 2018 nikataka kuirudisha nikalipia wakaprint ile iliyoisha muda wake tangu 2015. nikaachana nao sasa nataka kuirudisha nakuongeza madaraja toka D nipate A, D, na E unaweza kunisaidia?
Sisi tupo kwa ajili ya kutoa huduma kupokea simu yako na kukuhudumia ni fahari yetuKumbe hampokei siku... Mnaonekana matapeli nyie.
hilo jambo linawezekana kwa gharama kiasi gani nijipange kabisa sio kuja kutoa maelezo upya nakuondokaUna
Karibu sana mtaalamu tutakuongoza jinsi ya kupata leseni hiyo kwa kuzingatia kanuni
Kama kweli kuna tatizo unalosema naomba radhi lakini tuko kwa ajili yako Mkuu,naomba nipigie kwa 0765374146 Mimi mwenyeweHawapokeagi SIMU na hata wakikuta missed Call yako hawakupigiivwala Ujumbe
Hatua ya kwanza unatakiwa kuwa na cheti cha nafu zo hayo kuendana na madaraja uliyoyatajahilo jambo linawezekana kwa gharama kiasi gani nijipange kabisa sio kuja kutoa maelezo upya nakuondoka
Cheti ninacho nilichopatia class D mwaka 2008Hatua ya kwanza unatakiwa kuwa na cheti cha nafu zo hayo kuendana na madaraja uliyoyataja
Tuko maeneo ya mabibo mkabala na geti la kuingia Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji. Kuhusu ada inategemea na course ila bei inaanzia laki moja na kuendelea
Unapeleka cheti husika na leseni yako ya zaman tu MkuuUtaratibu wa ku renew leseni ni upi