Maandishi haya si mageni jijini, labda kwa mgeni jijini. Ila kwa wanyeji wa jiji, ni maandishi tuliyoyazoea
"Ntakutumia kuna ishu naiskilizia"
"Shemeji uko wewe peke yako"
"Lini nije kwako unipikie?"
"Babe sorry, simu ilizima chaji tokea Ijumaa jioni"
Wakuu ongeza maandishi ambayo si mageni jiji 🤣🤣