pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hii expressway mpya 'imeua'...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii expressway mpya 'imeua'...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Njoo dsm uone wewe...Jameni ifunguliwe twende kuspin hapo mahali, kunao tutakwenda kugeuza geuza magari tu kisa kuenjoy haya mambo tuliyozoea kuyona kwenye movie za Ulaya.
Njoo dsm uone wewe...
Acha kuharibu majina ya "mwagito" Mfugale.Rudia tena "Mfugale"!DSM moja ninayoijua au kuna nyingine iliyoshushwa kutokea binguni......
Mumeacha kupigiwa mapicha pale Mfangale ambayo mlijengewa na Japan kama msaada.
Kama hiyo ya Mfangale tumekua nazo nyingi kwa muda mrefu, ila hii Expressway ndio inakomesha yaani.
Stori tu hizo, Kanairo ni kuzuri sana siku hizi. Usalama, usafi kila kitu shwari, yule gavana sharobaro Sonko alikuwa anazingua sana. Ila walimng'atua na siku hizi mji upo chini ya usimamizi wa mjeda, Major General Mohammed Badi. Hana mzaha kabisa huyo mswahili.Inshaallah tutafika, ninachoogopa ke ni wakora, wamejaa kila kona
DSM moja ninayoijua au kuna nyingine iliyoshushwa kutokea binguni......
Mumeacha kupigiwa mapicha pale Mfangale ambayo mlijengewa na Japan kama msaada.
Kama hiyo ya Mfangale tumekua nazo nyingi kwa muda mrefu, ila hii Expressway ndio inakomesha yaani
Kenyan highway project is being funded by Chinese sources.DSM moja ninayoijua au kuna nyingine iliyoshushwa kutokea binguni......
Mumeacha kupigiwa mapicha pale Mfangale ambayo mlijengewa na Japan kama msaada.
Kama hiyo ya Mfangale tumekua nazo nyingi kwa muda mrefu, ila hii Expressway ndio inakomesha yaani.
Wako bize na expresswayWajirani binadamu wenu wanakufa Kwa njaa...
Hiyo pia inalipiwa, sio bureSisi ya kigamboni tunalipia, tukijenga kama hii sijui atapita Nani.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app