Karibu Kanairo, Karibu Kenya

Jameni ifunguliwe twende kuspin hapo mahali, kunao tutakwenda kugeuza geuza magari tu kisa kuenjoy haya mambo tuliyozoea kuyona kwenye movie za Ulaya.
 
Jameni ifunguliwe twende kuspin hapo mahali, kunao tutakwenda kugeuza geuza magari tu kisa kuenjoy haya mambo tuliyozoea kuyona kwenye movie za Ulaya.
Njoo dsm uone wewe...
 
Njoo dsm uone wewe...

DSM moja ninayoijua au kuna nyingine iliyoshushwa kutokea binguni......
Mumeacha kupigiwa mapicha pale Mfangale ambayo mlijengewa na Japan kama msaada.

Kama hiyo ya Mfangale tumekua nazo nyingi kwa muda mrefu, ila hii Expressway ndio inakomesha yaani.
 
Acha kuharibu majina ya "mwagito" Mfugale.Rudia tena "Mfugale"!
 
Inshaallah tutafika, ninachoogopa ke ni wakora, wamejaa kila kona
Stori tu hizo, Kanairo ni kuzuri sana siku hizi. Usalama, usafi kila kitu shwari, yule gavana sharobaro Sonko alikuwa anazingua sana. Ila walimng'atua na siku hizi mji upo chini ya usimamizi wa mjeda, Major General Mohammed Badi. Hana mzaha kabisa huyo mswahili.
 
 
Kenyan highway project is being funded by Chinese sources.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…