Gadi Marko
Member
- Feb 8, 2022
- 30
- 1
Kichwa cha habari kinasema "..........magari......." halafu ndani ya uzi kaweka kagari kake kamoja tu, kamaliza!Mkuu, utapigwa ban... unafungua nyuzi zaidi ya moja zenye mauhdui yale yale
Kuna haja ya sheria za jf kubadilishwa..jf imekuwa ya hovyo kulikoUngeandika unauza passo au ww ndyo wale wa nyimbo badala ya wimbo
Hii gari ilikuwa inauzwa 3.5 mil..kampuni moja ya mikopo tabata.. we unaiuza shingapi.?Ni magari ambayo watu wameshindwa kumaliza mikopo karibu Tukuhudumie Kwan huwezi jutaView attachment 2215399View attachment 2215400View attachment 2215401