Karibu KCMUCo Moshi

GIBA KB

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
367
Reaction score
110
Napenda kuwakaribisha wadogo zangu wanaopenda kozi ya Udakitari(Doctor of Medicine,M.D) Kujiunga na chuo cha Kilimanjaro Christian Medical University College(KCMUCo),tawi la chuo kikuu cha Tumaini.Kwa wanafunzi wa MD mazingira ya kujifunzia ni mazuri ikiwemo maabara nzuri zenye vifaa vya kisasa.vilevile wanafunzi wa MD wanapewa TABLETS kwa ajili ya masomo yao.Tuition fee yao ni ndogo ukilinganisha na ya vyuo vingne vya binafse km CUHAS,HKMU,IMTU n.k.Chuo kina ushirikiano na vyuo vya nje ya nchi hasa Usa km Duke University.Mitihani yote except practical hufanyika online.Karibu KCMUCo.For more info visit WWW.KCMUCO
.GO.TZ
 
kusomea vidonda??!!!

km unadhan udakitar ni kusomea vidonda umechemka.Udaktari ni field kat ya fields ambazo ni most essential katika jamii.Hii uliyoandka ni kudhalilisha fani ya udaktari brother.
 
nimekupm ndugu,em cheki
au nisaidie namba yako kwa msaada zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…