Karibu kili marathon

Karibu kili marathon

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2008
Posts
3,173
Reaction score
482
Hello JF members
Tarehe 26/2/2012 ni siku nyingine dunia itahamia hapa Kilimanjaro hususani Moshi mjini. Karibuni sana kwenye mashindano haya ambayo yanafanyika kwa mara ya 10 sasa. Inaweza kuwa ni nafasi ya kukutana na mwana JF mwenzako. Wale walio mbali anaweza kuni PM Kama wanataka kushiriki ili niwaandalie makazi na hata kilipia Ada ya ushiriki.
EM
 
  • Thanks
Reactions: JS
Next year lazima nishiriki.....ile ya fun run.
 
Nina uhakika wa member mmoja toka Arusha...
Thats a great event , and it sounds like a crime missing it!
 
Nina uhakika wa member mmoja toka Arusha...
Thats a great event , and it sounds like a crime missing it!

Mkuu kama kuna msaada ambao utahitajika nipo kwa ajili yake! Karibu sana
 
Jumapili the kilimanjaro marathon takes pace and i was wondering..why havent i heard so much news coverage on it!marathon za nchi za wenzetu zinatangazwa lakini hii yetu-holla!
I just never understand the 'media hype'
 
Tuko Moshi Mjini kwa ajili ya Kili marathon, michezo iliotia fora, bila kutegemea, watu wamejaza mahoteli, supermarket na maduka na coffee shops zinauza kuliko Xmas, hongereni sana waandaaji, lakini naona kama vyombo vya habari vinaibania. Japo sina uhakika sana.
Ila karibuni tujiunge.
 
I wonder too!!
But it was very very fun.
There was heavy rain the night before even in the early morning so the weather was perfect, Much more people were in the races and it was very fun, I saw blind people including children running, dissabled people running marathon, A lot of school children running with their teachers, very old people ladies and men all runnign, a lot of companies speonsored their staff to be in the marathons or the fun run

It was fun, and welcome the next time
 
I was there running 21k. It was fun! However there are few things that they need to rekebisha

They should put the "elite" runners in front of the crowd, like wanavyofanya other marathons. Hawa ndio wanaleta sifa kwa race kama wakivunja rekodi au kupata olympic qualifying times. Ukiwachanganya na wakimbia taratibu wanaweza kugonganahata kuumia wakati wa kuanza, wasiweze kukimbia vizuri tena

There should be clear signs as to where 21km and 42km finishing lines are located. Tumegongana sana wakati wa kuingia mlangoni kumalizia. Mwelekezaji alikua anatuchanganya. Some marathons are using big signs with different color.

Nasikia kwa 5km fun run medali zilikua za kugombea. That's too bad. Waweke utaratibu

Nimeona kuna wazee wanamaliza lakini hakuna recognition kwao. There should be a seniors category, say over 50 years. Si lazima wapewe pesa laking kusema tu kuwa fulani amekuwa mshindi kwa kundi la wazee inatosha.

Otherwise the race was good. I will be there next year for a full marathon!!
 
Ni kweli usemayo, Yes ni kweli finishing arrangement ilikuwa poor, nadhani hata categories pia zinaweza kutanganishwa kwa Rangi very bright mfano watoto, wazee, walemavu etc, niliona kipofu aliekimbia na kufika bila kuwa recognised ila baadae akaja mwenye mkono mmoja akawa recognised!!
Pia kulikuwa na watu wameziba njia kabla ya kuingia uwanjani, na hakukuwa na walinzi wa kutosha, ila ilikuwa very fun and next year nitarudi pia. ila nitafanya zoezi kabla.
Sijui wataufanyaje huu umati unavyozidi kukua
 
Ni kweli Haika, umati unakua mwaka hadi mwaka, na management yake inazidi kuwa ngumu.
Waandaaji inabidi wajifunze toka kwa wanaoandaa mbio zenye watu wengi
 
Niliwakaribisha ila ndo hivo mkauchuna. Binafsi sikukukimbia sababu nilikuwa na shida kidogo. Soma hii hapa https://www.jamiiforums.com/sports/226847-karibu-kili-marathon.html
Kwanza Kilimanjaro marathon iko kibiashara zaidi. Wild frontiers ni wa south africa, watanzania wana say ndogo sana kwenye hii kitu.
Mimi nafikiri tunahitaji kushirikishwa zaidi katika kufanya maandalizi. Viongozi wetu wa chama cha riadha hawajui hata mipaka yao. Wao wanafata posho tu basi lakini ni nini na nani anafanya nini hawajui na wala hawaulizi.
Kuna mtu kasema hapa, kwa mfano Marathon za nchi nyingine huwezi kukuta pace makers wanaanza na pros! Inatakiwa wale tunaojua kuwa ni wakimbiaji kiukweli wapewe priority to start!
On other side Tanzania tumezidi kutia aibu. Yaani sijui huko kwingine huwa wanafanyaje wanapata nafasi za juu!
Hivi akina Francis Naal, Simon Mrashani, akina Sarah Majah, akina Fabian Joseph wapi hawa. Kila mwaka best runners from Kenya!
Ndo maana hata Bonite Bottlers walivinja mshindano ya Volleyball pale Moshi!
 
Unadhani umiliki unachangia quality ya hii marathon?
Manake kwa vile hao wild frontiers wanaleta watalii wengi, wangehakikisha wanapata value ya hela waliolipa.
Nilisoma mahali kuwa hao waanzilishi yani ndesamburo, huyo mwanariadha jina limenitoka na mareale wanajipanga upya baada ya kuona participation ina almost double kila mwaka na management inaanza kuwa ngumu, i wish them luck na waanze kujipanga saa saa hizi, wawe serious,
ila kuna serious marathon babati.
Hv ulinote kuwa hawakutumia lile jukwaa kubwa walilojenga? Unajua ni kwa nini?
 
Du! ni kweli lile jukwaa halikutumika, hebu tunong'onezee kwa nini? Hata ile puto kubwa yenye alama ya Finish walitaka kujaza upepo last minutes likawashind likaanguka wakaliweka kando. Shame!

Kama kawaida wamejitetea kuhusu kushindwa Home :lol:
 
Back
Top Bottom