Karibu kwa fursa hii ya Pilipili Kichaa

Jamani niwaambie ukuweli, kilimo cha pilipili ni hela. Soko liko tayari linakusubiri wala huitaji kulitafuta. Na bei halikadhalika ishabainishwa ni tsh 4000/= iliyokaushwa kwa kilo. Lakini pia kabla ya kuanza kulima unapewa mkataba wako kabisa wa market assuarance. Haina gharama sana kwenye uzalishaji wake na kwa ekari moja haizidi milioni moja na laki mbili uwekezaji wake.
Kwa malezo zaidi tuwasiliane kupitia namba zangu za simu zilizo chini ya post yangu ya kwanza hapo juu.
 
Huw
sijui ni hali mbya?lakini watz tupo wepesi mno mno kuamini haya mambo.. haua makampuni ya kulima pilipili yapo kibao na hakuna alowah faidika nao.. unaishia kulia tu..lilikuepo jingine dodoma acha watu tulime zile eye bird..tuliwaona basi!
Huwa wanalenga kuuza mbegu, baada ya hapo wanasepa.Huku nilipo kuna wengine wamekuja na zao la tangawizi isio na kamba, sasa mbegu ya kutosha heka 1 milioni 20, watanunua wenyewe na faida utapata milioni 20.wadau hii mnaionaje!
 
Soko la mtu mmoja sio la kutegemea sana, ukipata misukosuko ya kibiashara itakuwaje? Ungenuambia kuwa pilipili zinahitajika masoko yetu na hili la nje ni ziada hapo nitakuelewa.
 
hiyo 20k ni kwa junia, au?
 
Huw

Huwa wanalenga kuuza mbegu, baada ya hapo wanasepa.Huku nilipo kuna wengine wamekuja na zao la tangawizi isio na kamba, sasa mbegu ya kutosha heka 1 milioni 20, watanunua wenyewe na faida utapata milioni 20.wadau hii mnaionaje!

kwann wasilime wenyewe..msihadaike..
 
Shida bwana hizi fursa watu huwa wanageuzwa fursa wao! Huwa wanajazwa wakiingia biashara inaishia hapo. Tumeona kwenye mapapai, mara mayai ya kwale mara mitiki

Lakini sisemi na ya kwako ni hivyo!
Mayai ya kwale???
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kabla ya hata kufikiria kulima pilipili hizo kichaa,naomba utupe ushahidi wa wakulima ambao tayari wameshalima na mmeingia nao mkataba.Tumeona mara nyingi wauza mbegu wanakuja na stahili hii ya kuwa wao ndo wanunuzi kumbe wanataka kuuza mbegu.
 
Kweli tuna utajiri wa ardhi na maji yanayotiririka, ila nimeona waliosogelea na kulima karibu na mto jinsi mazao yalivyokatwa sina hamu
 
Haya makumpuni ni wezi kikubwa nikwenda masokoni unafanya utafiti wa zao unalohitaji kulima ukilizika nasoko unakwenda kuzalisha
 
We bwana we, kilimo ni rahisi sana kikiwa kwenye maandishi
 
sijui ni hali mbya?lakini watz tupo wepesi mno mno kuamini haya mambo.. haua makampuni ya kulima pilipili yapo kibao na hakuna alowah faidika nao.. unaishia kulia tu..lilikuepo jingine dodoma acha watu tulime zile eye bird..tuliwaona basi!

Kweli, kama wanaona yanalipa waende wakalime wao wajiuzie wao. Kwanin watusumbue sisi. Ukishamaliza kulima waaanza kukuambia mara ubora, mara hujakausha vizuri mara zimepanda zimeshuka... Hatimaye hawatokei kabisa. Kwanza tani siyo mchezo, kwa kibongo bongo hzo tani 6 kwa ekari labda ekari ya nyanya πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Wewe umenielewa..yes wanatoaga sababu nyingi balaa.hhahh..kwakweli walime wao wajiuzie wenyew..itapunguza faida...tan 1 ya pilipili ni habari kubwa sana
 
Wewe umenielewa..yes wanatoaga sababu nyingi balaa.hhahh..kwakweli walime wao wajiuzie wenyew..itapunguza faida...tan 1 ya pilipili ni habari kubwa sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kua umesoma Sana ila kweli msomi akifanya kitu kibaya kisicho na maslahi
 
Wewe umenielewa..yes wanatoaga sababu nyingi balaa.hhahh..kwakweli walime wao wajiuzie wenyew..itapunguza faida...tan 1 ya pilipili ni habari kubwa sana
Hizi ni habari nzuri sana tu.Utekelezaji wake na soko na vingine vingi ndio matatizo makubwa.mbona mwelemishaji ameingia mtini hawasaidii wadau.Rudi utujibu humu bwana wee.Najua wee sio msanii kama hawa wengine waliotajwa hapo juu pamoja na wale wa mradi wa ndulele kule Moshi maili sita.
 
Kama kuna mkulima ambae a nalima zao la pilipili kichaa naomba niutafute haraka awezavyo kwa namba za whatsapp +27 79 166 9230
 
sijui ni hali mbya?lakini watz tupo wepesi mno mno kuamini haya mambo.. haua makampuni ya kulima pilipili yapo kibao na hakuna alowah faidika nao.. unaishia kulia tu..lilikuepo jingine dodoma acha watu tulime zile eye bird..tuliwaona basi!
Kama unazo hizo pilipili hata sasa nitafute kwa namba za whatsapp +27 79 166 9230
 
Asante kwa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…