ApolloShadow
JF-Expert Member
- Jul 19, 2025
- 925
- 1,962
Basi ninao wajua kipindi flani, walinipa gari mwenyewe tena nilitoka nayo kabisa mkoani from Dar es Salaam to Musoma. Wapo hapo hapo Dar es Salaam, siku hizi sijui kama wapo au lahNadhani wanaendesha wao, hawakupi uvimbe, ni kama Uber
Kwa DSM magari Makubwa tunakupa na sio DSM hata kwenda mikoani .Nadhani wanaendesha wao, hawakupi uvimbe, ni kama Uber
Siku nikija Dar , nina harusi bubu nitakuja kodi Brabus na mtoto mkali.. 😎😎Taratibu ni very friendly wala hazichoshi , sisi tunatoa huduma za kisasa .
Upo sahihi mkuu , na ukiendesha mwenyewe unakuwa una reduce costBasi ninao wajua kipindi flani, walinipa gari mwenyewe tena nilitoka nayo kabisa mkoani from Dar es Salaam to Musoma. Wapo hapo hapo Dar es Salaam, siku hizi sijui kama wapo au lah
yes nakumbuka, maana ukichukua Dereva lazima umlipe nae pia, kwa mda wote ambao unakuwa nae.Upo sahihi mkuu , na ukiendesha mwenyewe unakuwa una reduce cost