Karibu kwa kozi ya lugha ya Kiingereza

Karibu kwa kozi ya lugha ya Kiingereza

Tendeni haki

Member
Joined
Sep 5, 2024
Posts
7
Reaction score
4
Nachukua fursa hii kukukaribisha wewe utakayekuwa na uhitaji wa Huduma hii aidha wewe mwenyewe au mwanao/wanao. Tunaweza kufanya makubaliano ya kujifunza online (kwa njia ya mtandao) au kwa njia ya KAWAIDA.

Zaidi ikiwa kuna wanafunzi wanaosoma masomo Saba (7) O'level (arts pure) kuna huduma nzuri kwaajili yao, Ninakukaribisha SANA!

NB. Hii ni kwa wanaohitaji kunoa uwezo wao wa kuwasiliana kwa kiingereza(written and spoken means)
& Wanaohitaji kujifunza kiingereza kama somo


Gharama inategemea uhitaji wako. Mfano, mwenye uhitaji wa kuanza kujifunza (beginner with no prior understanding) analipia tofauti kwa kila kipindi (lesson)
Kwa mawasiliano zaidi.

+255752749430 (Watsapp+other)
 
Back
Top Bottom