Karibu kwa Mafunzo ya Udereva, Dar es Salaam

Mafunzo ya Udereva

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2025
Posts
620
Reaction score
925
KARIBU SANA ESSENCE DRIVING SCHOOL
Tunatoa mafunzo ya udereva wa magari aina zote ada zetu ni nafuu.

Uhakika wa kupata cheti na kupelekwa test kwa ajili ya leseni baada ya kufuzu mafunzo.

Tunapatikana
TEGETA
GOBA na MABIBO

Tuwasiliane hapa

Ada zetu kwa wiki sita ni 250000 tu

Mawasiliano : +255676060228
 

Attachments

  • 1785219617546_1.jpg
    74.3 KB · Views: 16
Asante Sana kwa kazi nzuri, hata Sisi ambao haujawahi kuendesha inawezekana kwa wiki 4 kweli, mbona ni muda mdogo, VETA zote wataanza na wiki 6
 
Unahitaji uwe na nini na nini mfano kama huna nida kama utambulisho
 
Unahitaji uwe na nini na nini mfano kama huna nida kama utambulisho

Taarifa zako binafsi na za msingi

Pia , Nida au passport ila kama hauna NIDA 🆔 au namba unaweza Fatilia ukapata namba ni within 7-14. Days unakuwa umepata namba
Huku ukiendelea na mafunzo
 
Mkuu nikuulize kuhusu hiyo Duration ya Mafunzo 4weks Vs 6 weeks standard
Duration ni two weeks, Four weeks na six weeks

Kuhusu standard , zote ni standard field na practical


Kuhusu practical , tunatumia muda mrefu ktk practical na ktk maeneo ambayo mwanafunzi atajifunza kwa weledi. Ktk roundabout n.k
 
Tunaendelea kuwakaribisha katika chuo chetu Essence Driving School ili kupata mafunzo ya Udereva

Karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…