Karibu kwenye Semina ya GNLD

TEK

Senior Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
184
Reaction score
35
Unakaribishwa kuhudhuria semina kubwa na ya aina yake inayofanyika leo pale MUCCASA MAFIATI MBEYA MJINI.

KARIBU UPATE MAARIFA KATIKA NYANJA TATU AFYA, UJASIRIAMALI NA MAISHA YENYE FURAHA.

HAINA KIINGILIO NI BURE KABISA. INAANZA SAA 7:00 MCHANA.
0763797853
 
huwezi nunua basi kwa hela ya hais. so ndugu yangu naomba ucwe na wasiwasi huenda unaona ni gharama lakini uwezo wa bidhaa hizi ni mkubwa sana kuloko unavyodhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…