Jumbe Kondo
Senior Member
- Oct 18, 2011
- 109
- 68
- Thread starter
-
- #21
Mjingamimi,Kuna documentary. Niliiona al jazira.kuna magari mawili tu.huko lamu.ila punda ndo wengi.
Makala Ambayo Nina Hamu ya Kuisoma na Kuijua ,,Ni kuhusiana Na Mwalimu na Kiongozi mkuu wa Dini Kwa Lamu ,,Aliekuwa Habib Swaleh Radhi Allahu an hum ,,,,
Mara yangu ya kwanza kufika Lamu ilikuwa mwaka wa 2007 na picha hii
niliipiga nikiwa kwenye chombo nikikiangalia kisiwa kutoka baharini.
Nilifika Lamu nikiwa mgeni wa Dr. Ahmed bin Sumeit aliyenialika kuhudhuria
Maulid ya Lamu.
Niliandika makala ambayo ilichapwa na The East African ikiwa kumbukumbu
yangu ya Maulid na kisiwa hiki:
Mohamed Said: The Lamu Maulid
Lamu Ni miongoni Mwa miji Ya kale yenye historia ndefu Ya waswahiLiHivi kwa manini asilimia kubwa ya majengo yote huko yameezekwa kwa majani ya minazi (Coconut/palm fronds) ?