Karibu Lamu

naskia sifa ya lamu wasichana huachwa wakitembembea wavulana huchungwa kisa ni Sodoma na gomora ya pili.
 
Hawa watoto hawafai kuolewa na wakikuyu au wale wa kanda maalum [emoji264][emoji102] [emoji264]
 
Embu fungukeni kuhusu wanawake wa huko kama wanao lewa na makabila mengine tuchangamkie fursa
 
Mm nataka kwenda lamu,naomba utaratibu na gharama zakufika na kuishi huko ukoje,je huduma za kijamii kama hotel za kawaida na vyakula umekaaje,naomba majibu kwa kwenye uwelewa wa lamu
 
Nimepapenda Lamu one day I will be there In shaa allah
 
KUZURI.....
Tutawarudishia Mlima wenu mtupe Mombasa yetu na LAMU
 
Sio siri, waarabu na wazungu kweli walivuruga watu na kisiwa, na si wajuwa waarabu na mambo yao ya kihuni😉, anyway twashukuru mko poa, heri mrudi kwenye ubantu wenu, acheni ukristu na uislamu kuonyesha mababu zenu walikuwa na mila, tamaduni na dini yao..kila la heri Lamu..
 
Huko ndio kwetu, baba alishawahi niambia kuwa kwetu ni Kizingitini na ukoo wangu ni Sharrif bin Ahmad bin Sharrif
Wabajuni wana majina yao ya Kiasili.
Acha kutumia majina ya Kiarabu.
 
Shairi linaloonyesha lahaja ya Kibajuni ambalo limeathiri kwa Kiasi kikubwa mno Kiswahili tuzumzacho leo.

Chwali varefu varefu, afiya dhechu ni shani

Tena vachu vatukufu, huruma tele imani

Miyi echu mikundufu, kwa bara na baharini

Sasa chumekuva dufu, hachupachi hata peni


Mwandishi ni ndugu yenu
Mbwara Masuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…