Ndama dume
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 858
- 1,484
Hiyo bei iandike vizuri nafikiri ulimaanisha Tsh 650,000/=. Hivyo ulivyoandika haitaeleweka kwa wengiView attachment 1532742View attachment 1532743View attachment 1532744View attachment 1532745View attachment 1532746
Bei mwisho laki 6.50000/=
Nipo kahama mjini
Call na sms only 0620307124
Kama huiwezi hiyo bei sitaki usumbufu
Ahsante kwa marekebisho mkuuHiyo bei iandike vizuri nafikiri ulimaanisha Tsh 650,000/=. Hivyo ulivyoandika haitaeleweka kwa wengi
Asante
Betri inakaa mda gani?Ahsante kwa marekebisho mkuu
Masaa 4 tuBetri inakaa mda gani?
Nchi ngap?Masaa 4 tu
15Nchi ngap?
Mpya au fabricated?
Mtumba wa ulaya rafiki tunaagiza mizigo ni kampuni ila sasa hii ilikuwa mali ya mteja kazingua kulipia ndio nimeona ipigwe mnadaMpya au fabricated?
Nimeweka mkuu angalia vizuriHujaweka specs zake ujue
Ipo moja tu au zipo na aina nyingne?Mtumba wa ulaya rafiki tunaagiza mizigo ni kampuni ila sasa hii ilikuwa mali ya mteja kazingua kulipia ndio nimeona ipigwe mnada
Ipo moja tu au zipo na aina nyingne?Mtumba wa ulaya rafiki tunaagiza mizigo ni kampuni ila sasa hii ilikuwa mali ya mteja kazingua kulipia ndio nimeona ipigwe mnada
Zipo nyingine nahisi nilishawahi post humu ila ni za bei ghali sanaIpo moja tu au zipo na aina nyingne?
Post tenaZipo nyingine nahisi nilishawahi post humu ila ni za bei ghali sana