karibu linaitwa janga!

Lady G

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
515
Reaction score
131
Jamani wanajamvi habari zenu. Hv nguvu za kiume zimekuwa tatizo namna hii. Nishasikia wadada wenzangu wengi wanalalamika khs waume/wapenzi wao kutokudndsha ipasavyo. Mie yamenikuta pia, mpenzi wangu akigonga mara 1 hawez kucmamisha tena mpk wiki mbili zpite. Inaniuma sana. Nimsaidieje jamani, aweze kupga bao 2-3?
 
Pole Lady G,i wish i could help......em tusubiri kidogo labda watakuambia wanaume.....
 

Kama unaona imekuwa janaga la taifa kugongwa kugongwa mara moja kwa wiki, kagharamie ving'asti 3 vya kukugonga mara 3 kwa siku.
 
vipi mpenzi wako anatumia vilevi/sigala?
 




Lack of exercise,poor diet,unstable state of mind,doing hard work,exessive drinking and smoking can lead to poor perfomance,Men needs to check out their life styles to improve this situation
 
Lack of exercise,poor diet,unstable state of mind,doing hard work,exessive drinking and smoking can lead to poor perfomance,Men needs to check out their life styles to improve this situation

Tre bien, umebaelezea msuri kabisa.......................... baache balokote benyewe kunyamvu.............................. Nguvu ya mamba kumaji haina ingine iyo..............................!!!!!!!!!!!!!
 
kula vile vyakula vya kawaida utaona! Najua jamaa yako anapenda vyakula vinavyong'aa mafuta,hawezi recover! itabidi upewe tamu nje tu!
 
Tre bien, umebaelezea msuri kabisa.......................... baache balokote benyewe kunyamvu.............................. Nguvu ya mamba kumaji haina ingine iyo..............................!!!!!!!!!!!!!



Batu bako banaikaa banatomboka tu,habajui kuwa mobali ya bato inataka ngufu.
 
fanyeni mazoezi wanaume acheni uvivu,yaani wazito kagoli kamoja ka kiviiiivu mpaka wiki ijayo ni nini hiki,wenzenu wanafuga kuku nyie vitambi
 
kula vile vyakula vya kawaida utaona! Najua jamaa yako anapenda vyakula vinavyong'aa mafuta,hawezi recover! itabidi upewe tamu nje tu!

acha hizo embu pata picha ingekuwa ndio wewe shipa halifanyi kazi ipasavyo afu mchumba wako akamegwa nje?
 
Batu bako banaikaa banatomboka tu,habajui kuwa mobali ya bato inataka ngufu.


Papaa Paka Mweusi Sango nini? Malamu!
Juu vile batu ya ngambo hii,haipendagi kuikalaga nakutuliza moyo. Juu ya nini! Kule Kwa Kisangani na Mbujimayi hakunaga hii mambo! Mwanamume kule anazala batoto makumi tatu na mbili. Mnshele mpipi natoshea mpaka ile juzi yake!

Mi nashauri batu iwe inakulaga shima na dagala!
 
life style ambayo kwa kiasi kikubwa inachangiwa na ulaji hasa wa fat, ili uume usimame barbara, flow ya damu mwilini inapaswa kuwa ya kawaida, ukumbuke uume sio nyama bali ni misuli na mishipa ya damu tu,
apunguze ama aache bia, nyamanyama hasa mkuu wa meza, michemsho isiyokuwa na utaratibu na pia wewe kama mwanamke jaribu kumkanseli na usimwonyeshe kabisa kuwa unakereka na hilo kwa kisaikolojia ataumia kabisa
jaribu sana kuwa unamchezea kila siku ule koni unapojisikia, wala usione aibu hata kama utaishika usiku kucha hiyo ni mali yako
 
Batu bako banaikaa banatomboka tu,habajui kuwa mobali ya bato inataka ngufu.

Batu bako banakula tu ile mifitu ya kung'aa mafuta , banaota fitambi mukuubwa, sasa nyoka yao inakwenda ndani halafu tumbo inatoka inje, sasa hawezi tomboka kwa kitanda msuri, sababu mwili ikijaa mafuta, damu hapana tembea msuri kwa ile mifereji yake, na nyoka haiwezi pata saplai ya kutosha.... baelezee mtu iache kulaga ile mifitu ya kungáa mafuta mingi, mibia mingi, na ifanye mazoezi ili iwe musuri kwa stage bana
 



Sango malamu,kombo na yo nani papaa,Baeleze haba papaa juu,habayui banaikala banakula muchele na mahalage,baye kipande yetu kule Lubumbashi bataona vile mobali iko nakula dagala na sombe.
 
ukiona amesema karibu litaitwa janga ujue ameshafanya utafiti wakutosha, na kubaini ni tatizo kubwa linalojiri wanaume kwa sasa.hata mimi nimesikia mengi usu hili.
 

source na the Guardian

Hii kitu Porn..ni msiba wa dunia,athari yake ktk sexuality ni kubwa kuliko inavyoelezwa.

Kuna idadi kubwa tu ya wanaume ambao hawa erect hadi mwanaume mwingine aje amwingilie mkewe/g.f wake,akipiga makele ndio jamaa anapata hisia...kuna watu wanaingiza pesa kwa kazi hii..kuwaingilia wake za watu ili waume zao wapandishe hisia.

Pia siku hizi exposure ya uchi wa mwanamke imekuwa kubwa sana,kiasi ubongo unazoea...inakuwa sasa refractory to sexual stimulation.....,kama vile ubongo unavyozoea sensation ya nguo kiasi at a time unaona kama vile sehemu ya mwili.
 
wewe unataka uliwe mara ngapi???yapo mawili anaweza akawa anapiga nje sana ua hali ya uwanja kwako si shwari
 
Bandugu bandugu inabidi tusambe co kumcheka mamaa leki, mapaa na magarso weng wanailia julu ya mfechoo. aifanye exesize na kumanjee natura foods,
menu: kabuchunguu, sombe, lengalenga,akunywe mayi mengi na apate fasi ya kupumzika. Pole mama leki, kuna dawa ya kutumikisha kama ni severe.
 
Mwambie apunguze kunywa bia kama ni chapombe na kama ni mnene apunguze uzito na kama mvutaji sigara pia apunguze,pia kama muda wote yuko busy na mihangaiko ya maisha mwambie atleast apunguze na mchukue likizo muende mbali kidogo muwe wawili ili umsaidie kupunguza msongo wa mawazo na kimaisha kwani hiyo misongo inapunguza hamu ya kufanya tendo la ndoa ,a.k.a chakula cha usiku.
Pia nawe unatakiwa ujibadilishe kidogo anza kujiremba na kujiweka sawa kwani wengine mkisha olewa hujisahau na mkisha pata watoto ndio basi mnaanza kuota vitambi kutokana na kunywa uji lishe sasa kama jamaa alipokuoa ulikuwa kimobitel na sasa umekuwa jimama,jamaa atakosa hamu kwani alikupenda ulikuwa kimobitel na sasa umejiachia hadi tambi hilo na huenda ndio maana amekinai
 
Pole mwali. Me wangu kimoja tu kila baada ya cku moja. Ila anasmoke. Mwenzangu ni mtihani . Jaribu kufuata mashaurio ya wadau, hope ataimprove.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…