Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kweli wapiga dili hawataisha nchi hii, hadi Chadema wapo sana. Kuna genge fulani la makamanda wa Chadema ambao walijipachika jina la wanyeviti wa mikoa wa Chadema na kufika nyumbani kwa Mbowe ili kumuomba agombee uenyekiti wa Chadema.
Baada ya muda karibu wote wamepotea na kutokomea kusikojulikana, wamebakia wachache (Ntobi na Yericko) ambao angalau wameonyesha ujasiri wa kumpambania mwamba japokuwa nao wamechoka na kuchokwa vibaya.
Soma Pia: Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti
Wengine wote wamepotea, baadhi wamebakia kujificha kwenye ID fake huku mitandaoni lakini pumzi inaonekana kukata kabisa.