Karibu mgeni Tanzania Commercial Bank. Benki ya Biashara ya serikali

Utakuwa unaishi kwa shemeji yako wewe
 
Bujibuji,

Ua hiki anzisha kile,nonsense!

Sifungui chochote humo

Private sekta ni kubwa 85% ya GDP yote,serikali mchumba tu kwa fedha

Hovyooo
Bujibuji Wyatt mathewson kaamua tu kukujibu kijeuri lakini alikuwa anamaanisha hivi:

Serikiali inaua kitu kimoja na kuanzisha kingine kinachofanana na kile ilichokiua.

Yeye Mathewson hatafungua chochote kwenye hiyo benki kama ikianzishwa.

Anasema sekta binafsi ni kubwa kuliko serikali kwani inamiliki asilimia 85 ya pato lote ghafi la nchi.
 
Sasa nimeelewa vyema
 
Mhhhhhhhhhh. Deeply thinking. Who is my best friend behind the intelligent move? Siyo bure
 
kwa maana hiyo sasa kuna haja gani ya kuwa na National Bank of Commerce NBC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…