Nakuja pmNyie c hamtaki kunikaribisha jmn [emoji3][emoji3]
Aahh sawa sawaAhsante sana mm ni ke
Weekend ndo hiyo inaishia tenaSalama kabisa cjui kwenu huko
Karibu sanaNimejikaribisha ahsanteni wenyeji wangu[emoji1]
HahahaYaani inaisha huku naitazama tu