Mbona baba Levo anamwita Diamond daddy na hushangai!!Trump ni mzee kiasi cha kumzaa huyo jamaa ama?Watoto wa Trump kina Ivanka,Trump jr.ni wadogo kiumri kulinganisha na huyo jamaa🤔
Na Iran piaUs ni dady wa Israel
Kama wafanyavyo Hawa machawa wa CCM Kwa SamiaTrump ni dishi lile muda wowote linayumba kwa hiyo hao wanaomwita hivyo wanafanya hivyo ili kwamba ile kauli ya ukila na kipofu usimshike mkono iendelee kutimia
👍Unataka Kusema na Katibu Mkuu wa NATO na yeye ni chawa wa Trump?🤔