Karibu nanenane Mbeya tuonane

Karibu nanenane Mbeya tuonane

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
6,958
Reaction score
16,358
INTRODUCTION
Dah, mwaka huu nimechelewa kuingia Nanenane Mbeya. Badala ya kuingia tarehe 30/07 ""as usual"" ila mwaka huu nimeingia juzi tarehe 02/08/2023.

Ila haina mbaya, Kazi iendelee.

BODY
Karibu kwenye Banda letu nikupe pindi/Shule kuhusu mambo ya biashara, Uwekezaji, kilimo, na viwanda n.k.

ELIMU YANGU
3. PhD Candidate - Financial Economics
2. Masters of Science in Finance and Investment
1. Bachelor of Science in Economics and Finance

EXPERIENCE
Katika nyanja hizo za elimu yangu uzoefu wangu;
1. Tanzania government miaka 11
2. Private miaka 2

Umri, Nina miaka 33 (1990).

Karibu tuongee kifedha zaidi
Karibu tuongee kibiashara zaidi

#YNWA
 
Ni pm Namba yako Niko nanenane pia ,
 
Mkuuu upo banda gani?

Jumapili nitakuwa hapo banda la JKT tukutane tunywe mibia kama yote
 
Kwa nini hizo digrii ziitwe bsc wakati Mathemstics ni bachelor of art?
Fedha ina sayansi gani?
Yani fedha sawa na chemistry,biology, physics. IT,Engineering!
Nini kimefanya hizo digrii zako ziwe Science?
Kwa nini msiziite tu bachelor of art in finance?
Kwa nini jiografia nayo isiwe sayansi?
Digrii zenu hizo zina fit kuwa social science au art.Mawazo yangu kama maprofesa wenu wanasoma maoni JF wabadili mara moja.
 
Anyway upo vizuri.
Turudi kwenye bandari.

#YNWA
 
INTRODUCTION
Dah, mwaka huu nimechelewa kuingia Nanenane Mbeya. Badala ya kuingia tarehe 30/07 ""as usual"" ila mwaka huu nimeingia juzi tarehe 02/08/2023.

Ila haina mbaya, Kazi iendelee.

BODY
Karibu kwenye Banda letu nikupe pindi/Shule kuhusu mambo ya biashara, Uwekezaji, kilimo, na viwanda n.k.

ELIMU YANGU
3. PhD Candidate - International Financial Economics
2. Masters of Science in Finance and Investment
1. Bachelor of Science in Economics and Finance

EXPERIENCE
Katika nyanja hizo za elimu yangu uzoefu wangu;
1. Tanzania government miaka 11
2. Private miaka 2

Umri, Nina miaka 33 (1990).

Karibu tuongee kifedha zaidi
Karibu tuongee kibiashara zaidi

#YNWA
Jina la Banda?
 
Nilijua mabanda Kuna vitu au bidhaa huwa mnauza au kuitangaza
 
Back
Top Bottom