Mkuu unayo
Hizi SSD zimeshashuka bei kiasi hiki, wow finally ntatafuta laptop yenye SSD niwekeNi Ofa ya mwaka mpya na mambo mazuri kwa bei poa kabisa.
Ni Adata Legend M.2 SSD Mpya kabisa kwa Tsh 150,000/= kila moja.
View attachment 2466319
Description
● PCIe Gen3 x4 interface
● Fast read/write performance
● Heat sink keeps things 15% cooler
● Great upgrade option for creators
● High capacities
● Supports NVMe 1.3
● LDPC & AES 256-bit encryption
● 5-year warranty
Tuwasiliane kwa +255622901670 Location: Kariakoo Dar es Salaam.
karibuni sana
Hio ni mfano wa Hard Disk Drive za computer sema yenyewe haina moving parts inaitwa SOLID STATE DRIVE. Inafanya kazi kama Memory card tu kwenye simu sema yenyewe inakupa memory kubwa sana mahususi kwa computer.Msaada tafadhali ni device gani hiyo na nini kazi yake
Nashukuru mkuu kwa kunitoa tongotongo.Nimeona inakuwa plugged kwenye PCI slot.Kwa hiyo tuseme ni Storage DeviceHio ni mfano wa Hard Disk Drive za computer sema yenyewe haina moving parts inaitwa SOLID STATE DRIVE. Inafanya kazi kama Memory card tu kwenye simu sema yenyewe inakupa memory kubwa sana mahususi kwa computer.
Yeah ni storage device mkuu.Nashukuru mkuu kwa kunitoa tongotongo.Nimeona inakuwa plugged kwenye PCI slot.Kwa hiyo tuseme ni Storage Device
OS inaweza kuwa installed humoYeah ni storage device mkuu.
Vizuri kabisa na latest pc zinakuja na hio pre-installed hazina hard drive.OS inaweza kuwa installed humo
Dah hii ni habari njema hard disk huwa kuna terminology wanaitumia nadhani kumaanisha life span yake toka imetengenezwa mpaka inakufa tunaita MTBF(Mean Time Between Failure.Huwezi Predict lini hasa itakufa mimi nimekuwa muhanga wa hili.Nimepoteza sana Data.Pengine kwenye hii kitu kuna some ImprovementVizuri kabisa na latest pc zinakuja na hio pre-installed hazina hard drive.
Hii ndio muarobaini wa kupoteza data, haifi haraka hata kama ukiangusha pc. SSD+Cloud Storage ni Timeless.Dah hii ni habari njema hard disk huwa kuna terminology wanaitumia nadhani kumaanisha life span yake toka imetengenezwa mpaka inakufa tunaita MTBF(Mean Time Between Failure.Huwezi Predict lini hasa itakufa mimi nimekuwa muhanga wa hili.Nimepoteza sana Data.Pengine kwenye hii kitu kuna some Improvement
Kweli tupo kwenye Hi-tech mkuuHii ndio muarobaini wa kupoteza data, haifi haraka hata kama ukiangusha pc. SSD+Cloud Storage ni Timeless.
Yah advancement ni kubwa na pia read-write speeds ni maradufu kwenye SSD. So ile mambo ya ku copy kitu masaa hamna tena.Kweli tupo kwenye Hi-tech mkuu
Yup I see.Bila shaka zinaweza kupachikwa zaidi ya moja kwa kuwa kwenye motherboard kuna PCi slot zaidi ya mojaYah advancement ni kubwa na pia read-write speeds ni maradufu kwenye SSD. So ile mambo ya ku copy kitu masaa hamna tena.
Yes ofcourse,Yup I see.Bila shaka zinaweza kupachikwa zaidi ya moja kwa kuwa kwenye motherboard kuna PCi slot zaidi ya moja