Rich Forever
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 467
- 469
Utapata ya 1968.!Nitafutie Harrier ya seat 7. Bei isizidi 7M
Hizo mkuu mara nyingi zinazopigwa mnada na benk kama upo na uhakika niambie nikuchekieNitafutie Harrier ya seat 7. Bei isizidi 7M
Bado ipo hiiHiyo hapo mkuu ipo kwenye hali nzuri kabisa
Nissan Extrail[BYD]
Year:2002
Cc:1990
Millage:100k
Automatic Transmission
Rims
Colour:Black
Good Condition
Bei:7.5 million
View attachment 876904
Ipo mkuuBado ipo hii
Unaitaka mkuu?Noah?
NdiyoUnaitaka mkuu?
Kuna namba zangu hapo waweza kunichekNdiyo
Laki nane ndio yakoToyota Mark X inauzwa gari ya mwaka 2006 limetembea kilomita 81,901 lina cc 2490 Fuel Petrol transmition aotomatic bei yake ni million 11 na laki 8 lipo katika hali nzuri kabisa na linapatikana sinza.
Kwa mawasiliano
0719590756
0758556283.
View attachment 869214
Itategemeana na mwenye gar sisi tunaletewa gari na hiyo ndo bei yake aliyotupaLaki nane ndio yako
Mkuu ipo ya 9 Dlm.Nitumie picha za nje na ndani Brevis yenye cc2500 kama inapatikana kwa bei ya 6M namba D
Poa mkuu shukrani sanaOngera sana kwa post zako endelea kutupa vitu vikali