Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
- Thread starter
-
- #181
Bei za sasa zilizopo ni za offerBei kwa feet 40?
Hii grade Be price yake imeshuka Kwa sasa badala ya 7.3M utapata Kwa 6.9M karibu
Mkuu kuna offer maalumu Kwa sasa ofisini.Mkuu weka na beiya kila grade, tujipange ama tuchukue hatua ya manunuzi.
Available only 7MWelcome
Ft 40 grade A
Kwa sasa kuna 20ft na ft40 mkuu karibuBei ya 49 feet container
Yes kakaMkali ile account kule x ni yenu pia?
Sasa nitahakiki vipi kuhusu madaraja ya grade?Mkuu kuna offer maalumu Kwa sasa ofisini.
20ft bei zake zipo katika punguzo pamoja na ft40 karibu Sana.
20ft utapata Kwa be hizi hapa
Grade A utapata Kwa 4M badalabya 4.5M
Grade B utapata Kwa 3.9 badala ya 4.3
Na grade C utapata Kwa 3.8 badala ya 4M
Karibu Sana .
Na Kwa upande wa ft40 pia punguzo lipo kubwa Sana.
Grade A utapata Kwa 7M badala ya 7.5
Grade B utapata Kwa 6.9M badala ya 7.3M
Sasa nitahakiki vipi kuhusu madaraja ya grade?