Karibu ofisini kwetu ujipatie Makonteina bora na ya kisasa

20Ft

Grade A: Tsh 4.5M
Grade B: Tsh 4.3M
Grade C: Tsh 4M
Grade DTsh 3.8M
Grade ETsh 3.5M


Tuwasiliane
 
OFFER MPYA

40FT

UTAPATA KWA BEI HIZI

GRADE A: 7MILLION BADALA YA 7.5M
GRADE B: 6.9M BADALA YA 7.3M
GRADE C: 6.7M BADALA YA 7M

KARIBU

CALL 0625085224
 
Bei za offer ni hizi hapa Kwa sasa .

Grade A utapata Kwa 4M kamili
Grade B utapata Kwa 3.9 kamili
Grade C utapata Kwa 3.8 kamili


Karibu Sana Kwa offer hizi za mwanzo wa mwaka.
 
Ndo ambacho tunafanya mkuu mfano kama unanunua ft40 tunaweza kukusafirishia hadi 1.5M au ikawa chini ya hapo

Cost sharing IPO mkuu.
Ili kupata wateja wengi mngetumia free delivery au share cost ya deliver kwa sababu watu wengi wanaogopa gharama za usafiri...
 
nilidhani ni container hizi, kumbe uzi haunihusu. Au basi!

 
Kwa wale Ambao mlikuwa mnauliza kuhusu gharama za usafirishaji.

Huwa tunafanya cost sharing nikimaanisha kuchangia gharama za usafirishaji wa Container.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…