Karibu sana LULU karibu sana kitaa Ila mambo yamebadilika sanaa

Karibu sana LULU karibu sana kitaa Ila mambo yamebadilika sanaa

thA goD

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
1,943
Reaction score
1,851
Habar,

Ikiwa tayar Dad keshafanya yake
Mimi nasema hivi....

Karibu sana LULU karibu sana kitaa Ila mambo yamebadilika sanaa mdogo angu Kama....

1: Dodoma Imekuwa jiji.
2: Alikiba sasa ni mume wa mtu.
3: Harmonize kapata MZUNGU ila Hatupumui huko insta kwa promo.
4: Wema sepetu hajaolewa ameamua kuyaanika makalio hadharani huko thwimingpuli.
5: NANDY na BILL Nass wamejianika hadharani huku wakituonyesha vitu vya [emoji177]
6: Watu wamebaniwa views huko you tube baada ya kugoma kupokea Mikono yetu ya salamu, halafu nimekumbuka Masogange(video vixen) ameiaga dunia.



Ni mengi Sana ya kukuhabarisha bila shaka wana JF mtanisaidia.

Ongeza yakwako
 
Back
Top Bottom