Karibu sana LULU karibu sana kitaa Ila mambo yamebadilika sanaa

Moja Nukta Tano (1.5) imepotea na imekosa maelezo yaliyoshiba.
 
Dodoma stendi ya mabasi imehamia nanenane..
 
yule dogo wa TMT kasepa na mitonyo ya mazuzu.
 
Sasa hivi ni mwendo wa kujiteka watawala hawataki kusikia kuwa ulitekwa(Abdul Nondo)
 
Akumbuke kuweka NYWILA kwenye simu na laptop/computer yake/zake, wasije wakamrudisha tena ndani.
 
Claud tv sasa hawatangazi wala kuwapa promo Wasanii wa WCB
 
Ukikohoa wowowo likipita ni
SHAMBULIO LA AIBU. So ni kosa unapelekwa mahakamni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…