Dah! Hongereni sana. Kazi zenu huwa naziangalia sana hasa zile mlizofanya na baadhi ya Kwaya za Katoliki. Mkaze buti aisee! Hakuna kulala.
Pia mfikishe salam zangu kwa wenzenu wa The Galaxy Pro, Holy Trinity, Rajo Production, na Tanganyika Production. Hakika mchango wenu ni mkubwa sana kwenye tasnia ya muziki Tanzania, ukiwemo ule wa nyimbo za Kikatoliki.