GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huku Mwalimu Mchungaji Mwakasege anaendelea na OKOKA Concert yake na kule EFM Radio wanaendelea na KOMAA Concert yake.
Kwa 'Sound' la uhakika lililosetiwa vyema kujiandaa na KOMAA Concert ya EFM Radio Tanganyika Packers Kawe Kesho ambalo nimetoka Kulisikia kuna uwezekano mkubwa 95% ya Waumini wa Semina ya Mwalimu Mchungaji Mwakasege wakawa Machoni wanaonyesha Kufuatilia Somo ( Neno ) la Injili ila huku chini wakawa 'Wanaserebuka' tu kwa Miziki ya uhakika kutoka kwa Wasanii Wakali na Wakubwa watakaokuwa 'Wanaimba' Miziki ya Kidunia.
Kwa mujibu wa Mmoja wa Wataalam wa Kutengeneza na Kupamba Jukwaa huku pia akiwa amebobea ( ameiva ) katika 'Sound' kaniambia GENTAMYCINE kuwa Kesho Sauti ya hilo Tamasha lao la Komaa la EFM Radio itasikika umbali wa Ubungo, Tegeta na Kigamboni achilia mbali Wakazi wa maeneo ( viunga ) vya Kawe, Mikocheni, Msasani, Goba, Bahari Beach, Mbezi Beach, Masaki, Oysterbay, Tegeta Masaiti, Makumbusho, Kijitonyama, Mwenge na Sinza.