Karibu tena El Bugatti (Manara) Yanga Africa

Karibu tena El Bugatti (Manara) Yanga Africa

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Karibu tena mtaalam wa hamasa Bugatti.

Wewe ni mwananchi halisi.

Unaipenda Yanga kutoka moyoni.

Utaipandisha team yetu thamani.

Manara ndo mhamasishaji mkubwa Tanzania ataipa Yanga thamani

Wanaopinga hawajui potential ya Manara katika mpira wa Tanzania

Yanga ni team kubwa laZima iwe na watu wakubwa

Oya Bugatti welcome Kwa wananchi tena
 
Kumbukeni huyo manara akizidiwa tu anakimbilia ulemavu wake kuwa kaonewa.
Yanga wanamtizama tu
 
Huyu hachelewi kutuletea mzozo maana hua hawezi kujizuia kuongea kauli controversial
Hana shida amefanya kazi na maamizi makubwa kama baybot na TIGO yamemwamini.

Ni mtu muhimu asiyejua thamani yake Wacha tumtumie
 
Hana shida amefanya kazi na maamizi makubwa kama baybot na TIGO yamemwamini.

Ni mtu muhimu asiyejua thamani yake Wacha tumtumie
Cheki mawazo ya hii Gongowazi
 
Press yake ya leo kasha tu kasha anza kufafua hali ya hewa mbaya zaidi hawezi kuzuia hisia zake na weakness yake nyingine ni kuchanganya mambo yake binafsi na taasisi
Hana shida amefanya kazi na maamizi makubwa kama baybot na TIGO yamemwamini.

Ni mtu muhimu asiyejua thamani yake Wacha tumtumie
 
Mbumbumbu unamwogopa El Bugatti Haji Manara
Fatilia vizuri, mtu wa kwanza kuchukia ujio wa Manara ni Ally Kamwe.

Na siku si nyingi tutaanza kuyaona matabaka miongoni mwenu.
 
Fatilia vizuri, mtu wa kwanza kuchukia ujio wa Manara ni Ally Kamwe.

Na siku si nyingi tutaanza kuyaona matabaka miongoni mwenu.
Ali Kamwe hana value ya Haji Manara
Itabidi ampishe akae Bugatti awe ndo king wa wasemaje Tanzania
 
Amejibu tuhuma za kujibinua kama lori la mchanga akilewa ?
1000011302.jpg
 
Back
Top Bottom