Karibu tubashiri matokeo ya Gor Mahia vs Everton

chap chap wakiwa mapumziko dakika 45 za mwanzo wakiwa na ushindi sawa je kwa mtazamo wako mwana jf unaona nani ataondoka na ushindi??

Sent from my EVA-L19 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu upo? Ulimhala?
Wow, nipo Mkuu! Nalimhola sana, niyo gete gete!

Nimefurhi kuona post yako.

Nawapongeza Gor Mahia, wamecheza mchezo mzuri sana. Wameitangaza Kenya na East Africa kwa ujumla kwamba kumbe na sisi tupo japo hatuvumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…