Karibu tujenge jamii mpya

Hawa the bus

Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
9
Reaction score
10
Napenda kuwatangazia wana jf kwamba mwaka huu historia ya maisha yangu will change from senior bachelor to masters of couple. nahitaji kuoa ila mpaka sasa mchumba sina hivyo napenda kuwatangazia kwamba kama kuna msichana mwenye utayari wa kuolewa naomba tuwasiliane ili tufanye mazungumzo kama tutakubaliana tujenge jamii mpya.

Sifa zangu
Najishughulisha na ujasiriamali , sina mtoto , 35 years of age , black & tall , university graduate , Damu yangu safi ( negative HIV pandemic) , Christian , I weighs 77 kilos

Sifa za msichana
Asiwe na mtoto , at list form six leaver and above ,from 25 to 35 years of age.

Mawasiliano: Kama umewiwa pasipo kusita wala kuogopa naomba tuwasiliane through the following email address:
hawathebus@gmail
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…