Karibu tujifunze Ufafanuzi zaidi kuhusu Vyakula vya mtoto pamoja na mama mjamzito

Karibu tujifunze Ufafanuzi zaidi kuhusu Vyakula vya mtoto pamoja na mama mjamzito

D-wiles

Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
7
Reaction score
4
Hawali ya yote naomba radhi kwa kuandika Vyakula ivi kwa lugha ya kingereza
MTOTO MDOGO anatakiwa ale mlo kamili yaani appetizer,main meal,pamoja na desert na Vyakula hizo zinatakiwa ziwe na lishe Bora yaani nutrients Kama minerals,vitamins,carbohydrate and proteins
Mfano: fish soup,mashed potatoes, boiled rice.

MAMA MJAMZITO
Kwa upande wa mama MJAMZITO anatakiwa ale Vyakula vyenye virutubisho Kama vitamins na protein kwa wingi ili kuongeza Kinga kwa mtoto pamoja na utengenezaji was mwili
Mfano : vegetables salad,mixed fruit salad,savoury rice,egg curry
Asante sana kwa Ufafanuzi. Zaidi tutawasiliana apa apa.
 
Back
Top Bottom