Karibu tukufanyie design ya nyumba yako (interior & exterior design, ramani za ujenzi n.k)

UJENZI

Member
Joined
Nov 6, 2018
Posts
7
Reaction score
4
Tunakukaribisha Kwa Dhati Kuja Kwetu Tukufanyie Ubunifu Wa Nyumba Yako Kuanzia Ramani, Ubunifu Wa Muonekano Wa Nje Hadi Ndani

Unaweza Kujiuliza Kwanini Uamue Sisi Tukufanyie Ubunifu? Jibu ni Kwamba Dunia Ya Sasa Hizi Imezungukwa Na Sayansi Na Teknoloji na Pia Nyumba Ni Mahala Ambapo Kila Mtu Anapenda Pawe Pazuri Na Pakuvutia, Sasa Kama Hutoipenda Nyumba Yako, Aipende Nani? Kwnn Wenzio Wajenge Nyumba Za Kisasa Na Wewe Usijenge? Amini Kuwa Kila Kitu Kinawezekana Ila Tuu UTASHI wa Kuamua!

Kama Hiyo Haitoshi Gharama Zetu Ni Nafuu Mno! Yani Nikufiche!! Ni Nafuu Sana Tena Sana Wala Usiogope Muonekano Maana Hiyo Ni Kazi Rahisi Sana Kwetu Na Ndio Maana Tunafanya Kwa Bei Nafuu

Kadhalika Hizi Ni Baadhi Ya Kazi Kutoka Kwa Wateja Wetu Ambao Tumefanya Nao Kazi

IMG-20181107-WA0060.jpg
IMG-20181107-WA0059.jpg
 
Last edited:
Hizi Ni Baadhi Ya Sample Za Ubunifu Wa Ndani

IMG-20181107-WA0030.jpg
IMG-20181104-WA0071.jpg
 
Picha za mitandaoni, sio kazi halisi. Weka picha mliofanyakazi.
Hizo ni picha za mtandaoni?unauhakika mkuu....kwa expirence hizo ni za kibongo kabisa.....tena za Atlantis nahisi ungekutana na touch za lumion...3ds max au cinema 4d zilizoiva ungesema nn?muanze kuwaamini watalaam wenu....sisi hatujadevelop program yoyote uweze kuona vyungu na kigoda kwenye hizo program ili ujue kafanya mbongo
 
Uko serious kweli na unachokitangaza!??

Kwanini utujazie mipicha ya mitandaoni??
Hapana Mimi Ni Mbunifu, Na Hazipo Mitandaoni Hizo Jaribu Kutafuta Na Ukizipata Basi Niumbue ila Huu Uzi Utasimama Kidogo Ili Nifanye Usajiri Kwanza
 
Hizo ni picha za mtandaoni?unauhakika mkuu....kwa expirence hizo ni za kibongo kabisa.....tena za Atlantis nahisi ungekutana na touch za lumion...3ds max au cinema 4d zilizoiva ungesema nn?muanze kuwaamini watalaam wenu....sisi hatujadevelop program yoyote uweze kuona vyungu na kigoda kwenye hizo program ili ujue kafanya mbongo
Bora Unisaidie Wewe Mkuu
 
  • Thanks
Reactions: etb

Nyumba gani in real life iko hivyo? Mwambie akapige tena hio nyumba, afungue dirisha tuone nje. Unaweza kuwa umetengeneza wewe ila sio picha halisi kwa maana kuwa sio nyumba mlio-design mkapiga picha bali ni picha imetengenezwa.
 
Mkuu Asante Sana Maana Ni Kweli Tumehitimu Vyuo Vikuu Ila Huu Utaratibu Hapana Sikuwa Naufahamu na Msema Kweli Ni Mpenzi Wa Mungu Na Ngoja Nifanye Usajiri Kisha Hii Thread Nitaiendeleza

Asante
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muachage uongo, hakuna architecture asiyejua kuwa anatakiwabajisajili na AQRB, sema ukweli usaidiwe huenda wewe ni fundi mzuri tu
 
Hajasema Huyo ni picha halisi ya nyumba ila ni kazi aliyoifanya elewa basi mkuu...ukimwambia afanye interior design ya nyumba yako unataka aje kanunua kabati na vyombo au wall paper akuoneshe au atakuja na picha aliyodesign kwa kutumia software kama arch cad na kuirender?huo ni mpangilio was jinsi sebule au dinning yako itakavyo kuwa sio kwamba imeishajengwa!!
 
Sio architecture mkuu ni architect wote wanajua ni ugumu tu wamaisha unawafanya wavunje sheria...kuachia laki tano ikupite hivi hivi boss sio kazi ndogo...unavaa tu mabomu!!
 
Mkuu Asante Sana Maana Ni Kweli Tumehitimu Vyuo Vikuu Ila Huu Utaratibu Hapana Sikuwa Naufahamu na Msema Kweli Ni Mpenzi Wa Mungu Na Ngoja Nifanye Usajiri Kisha Hii Thread Nitaiendeleza

Asante
Unajua utaratibu wakupata usajiri ulivyo utakuja kuufufua huu Uzi baada ya miaka miwili!!we kama unaroho ngumu jilipue tu ukipata mteja Fanya kazi....ukikamatwa ajalii kazini....nakupa moyo wakuvunja sheria...wafanyabiashara wanakwepa kodi....madaktari wanachoma sindano wagonjwa majumbani... mashehe na mapadri wanafumaniwa na waumini wao kila sekta wanamagumashi yao ndo hao hao wanakuja kukwambia eti Aqrb lazima ikusajiri ili ufanye kazi...bottom line zakuambiwa changanya na zako!!
 
Hajasema Huyo ni picha halisi ya nyumba ila ni kazi aliyoifanya elewa basi mkuu...ukimwambia afanye interior design ya nyumba yako unataka aje kanunua kabati na vyombo au wall paper akuoneshe au atakuja na picha aliyodesign kwa kutumia software kama arch cad na kuirender?huo ni mpangilio was jinsi sebule au dinning yako itakavyo kuwa sio kwamba imeishajengwa!!
No. Amesema kazi alizofanya so alitakiwa kuonesha KAZI HALISI ALIOFANYA sio mchoro wa kwenye computer na ndio nilichosema kuwa hio sio picha halisi. Tembelea thread nyingine uone wakisema kazi walizofanya maanake nini.
 
Back
Top Bottom